UJUMBE WA SAKHO BAADA YA KUSHINDA ‘GOLI BORA LA MWAKA’ CAF

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Msenegal Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka 2022 la Afrika katika tuzo ya CAF. Mara baada ya kutwaa Tuzo hiyo, Sakho ameonesha furaha aliyonayo moyoni “Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.”- Pape Sakho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya